Spotlighting Pan-African Poetry

Biography

Fikiri

Enlarge poem

Walishikana mikono bila kufumba macho,
na wakaongozwa na kinyago mmoja kuvuka
daraja zao za economy,haja zao zilionekana
kupungua kurasa nyingine wakafungua ikaonekana
ni kwetu kubwa felony,Baadaya mate walianza kuitemea
jua kuunda G8 g whatever wakidhani inapunguza poverty,
ikawa ni hatua tatu mbele zingine nne nyuma.
Wakulima walikosa matumaini ukoloni mabo leo,
tukiendelea kuambiwa tusahau kabla ya sitini na tatu
tugange yajayo,hapana nasema tugange ya jana tupate
wa leo mtazamo na wa kesho mwelekeo.
Tukireminisce,1962 midnight taharuki ilikuwa ni ima fa ima,
na 63 ikawa tamasha bendera iliangikwa angani,yamikini
macolaborators ndio baadaye walikuwa ma rais,ndio maana
kelele zetu za kusema Babylon imefall wao wako alert kuona
haiko apart kurevive,kurewrite na kurevolutionize kuta na sheria
za kamiti kuhukumu sauti za ukombozi.
Ngugi wa Thiong’o alifika walimnyaka,wakamdaka na kisha bibiye
wakambaka,na idara Fulani ya usalama ilo tuhakikishia tu salama
mpaka kwa wanoishi kwenye mipaka wakasemea ni uhalifu wa kawaida,
wanjiku we fikiri.

Ndio maana maisha yangu sasa in pande mbili za siri,
sijui mimi ni wa dini au utaniita kafiri,nyasi nipate nivute
maisha niweze kuyafikiri na si rahisi unavofikiri,ni kama
vile kushikilia siri mbaya sana za nchi,Githongo kumbukeni
ziko uchi sana kwa wananchi,au makaratasi Fulani ya pentagon,
wamwache Bin laden kwa border wakufuate mitaa ya kati,
Usipunguze mwendo kimbia sana wakikukaribia imba yako ya
mwisho hosanna,maana utalindwa kama atomic Fulani waliachilia
kabla ya wakati wake washa poteza focus na target,au kuwasha moto
noti Fulani walikopa kwa benki ya wanachi wanaishi kwa nguvu za mate
next tukose budget.

Wewe Fikiri…..

Translation

THINK.

They held hands without a blink,
And they were led by a puppeteer to cross over the bridges of economy.
Their needs seemed to ease and they flipped to another page,
That to us seemed too much of a felony, later they started spitting to the sun,
Forming G8, G whatever, thinking it will reduce poverty.
That was three steps of progress and four less behind.
The farmers lost their hopes in that post colonial era as we continued to be convinced
The importance of amnesia from way back 1963 and veer into the future.
No, I say, we keep revisiting that of yesterday, for today’s vision and tomorrow’s direction.
If we reminisce way back in 1962 midnight, the tension was tremendous, and in the wake of 1963, it was euphoria, they suspended the flag. It is so unfortunate the collaborators later became the presidents. That’s the reason why our protests to fell Babylon, makes them so alert to see it not apart, and they rewrite, revive and revolutionize the walls and the laws of our jails, to execute the voices of revolution,
When WaThiong’o came back, they held him in esteem and later raped his wife, and the then ministry of defense that had promised to grant our full security even furthest to our borders called it another normal crime. Another normal crime? I beseech you to think.
That’s the reason why my life is so multifaceted, not sure whether I’m for religion or you call me a nihilist. I intoxicate myself and think about these issues, it’s not easy like one would think, it’s like processing the deepest secrets of the nation, Githongo, remember and you make them so naked to the citizens.
Or those papers of Pentagon, they will let Bin Laden loose at the borders and come for you to the central cities.
Don’t you reduce your pace, run faster when they get closer, say and sing your last hosanna, because they will guard you like the atomic which they let loose before the appropriate time and so they miss and loose their focus and target, or lighting up that note they borrowed from that bank of that country of those people that live on the energy of their saliva and so next year they lack a budget.

Evans Nganga

Featured Poem:

Safari ya mwezini

Enlarge poem

Dakika kadhaa kabla masalkheli,
Nilipungiwa mkono wa kheri kwaheri tuonane mpenzi
Nafsi mie hufa ganzi kila wakati nimdhukuru,huyo mpenzi mi humuenzi.
Zilikuwa ni siku za enzi,chache sana sekunde zikawa ni siku na miezi.
Uwanjani wa ndege akiniaga kila siku atanienzi,na vile yake roho kupenda mwingine haiwezi.
Safiri salama kifika nandikie barua,wasalimu wanafunzi na wakeya watakaokujua,
Nipigie unandikie afya nijue unapougua,ilikuwa no safari ya mwezini nisha tambua.
Simu nazo zikawa ni za kwa urembo wa mfuko,barua zikawa nadra zipo mara hazipo,
Na hali zikawa nip engine yu salama pale alipo.
Kipindi chake cha kusoma,nacho kikakita mizizi,kipindi chake cha safari nacho kikazidi
Majira,wingu la wahka nalo kanizidia kichwani,ulipo talii salama bado nakupenda mpenzi.

Pengine ilikuwa ni hiyo safari ya mwezini,
Rubani wa ndege ya kurudi pengine kafariki,
Pengine unapoishi paradiso kwako haipo dhiki,
Mwanamme wa kizungu pengine kakuhabaria,
Pengine sayarini kisiri ukaamua kuabiria,ulipo,
Mpenzi mie bado nakufikiria,maana mi huchoka simulizi kukuhusu nahadithia.
Maana ndoto hunijia,mara ufukueni mahaba tumetulia,na mara dirishani maua
nikikutupia,na busu la hewani hunipa ukishayadakia.
Naomba siku nyingine tena we mrembo utanijia,isiwe ni ndotoni tu,ila mzima utanikumbatia.

Gambusi nacheza ulipo cheza ukiweza,arusi mi naiwaza ukirudi tena tutaipanga,nakukosa nakukosa toka hiyo nchi ya kishenzi,uzuru ndoto zangu sijali zikiwa ni jinamizi.
Na masomo yako nayaombea mola yakalete tija,sisadifu ahadi ukivunja urudi tena ukiwa mja,namaliza sio wimbo ilikuwa tu ni imla

Translation

Journey to the moon.

Some few minutes before the good night wish,
She waved her hand and wished me a fortune,
Goodbye we’ll see each again my love,
My inner self paralyses every time I reminisce,

My love how much I treasured you.
It was those past days, very few seconds turned days and months.
At the airport seeing her off, biding me goodbye,
And how everyday she will treasure me and loving another, she will not

And I said to her ‘travel safely, on arrival write me a letter,
Say hi to your fellow students and the Kenyans at large who will recognize you.
Call, and write to me so I know when you are healthy and when you are not well,
And it was a journey to the moon I have come to learn.

Her call phone added a beauty to her purse,
And the letters became scarce and sometimes none.
And the situations turned wishes and hopes that she’s okay wherever she is.
Her time of travel eventually started defying time,

And her program of study started beating seasons.
And that cloud of doubt blurred my mind,
Tour safely, I still love you my love.

Maybe it was that journey to the moon,
The pilot of the return plane passed away.
Maybe wherever you live is paradise, you never lament,

Maybe another man from that place won your heart.
Maybe you decided to secretly traverse to space.
Wherever you are my love, here I still think so much about you.
I’m tired, and worn out, about you I live to narrate.
Since these dreams sometimes come to me.
By the sea shore, we romance as we relax,
And at times, I throw flowers by your window,
And you blow that kiss after the grasp.
The beautiful one, I pray someday again you’ll come back to me,
Not only in my dreams, but wholly you’ll embrace me again.

This harp I play, wherever you are dance if you can,
I contemplate a wedding we’ll plan it together when you come back.
I miss you, and I think of you, get back from that stupid land.
Visit and tour in my dreams, I don’t mind you as my nightmares.
And I pray to the infinite for your studies to bring back fortunes,
I’m not okay if you break the promise and come back with a heavy belly,
I finish this is not a song, It’s a narration I write.

How does this featured poem make you feel?

 • Amazement (2)
 • Pride (1)
 • Optimism (0)
 • Anger (0)
 • Delight (0)
 • Inspiration (0)
 • Reflection (0)
 • Captivation (4)
 • Peace (0)
 • Amusement (1)
 • Sorrow (3)
 • Vigour (0)
 • Hope (0)
 • Sadness (0)
 • Fear (1)
 • Jubilation (0)

Comments

Your email address will not be published.

Biography

Evans Nganga is a Kenyan contemporary artist, dancer, poet, yoga instructor and beadwork craftsman who concentrates on performing arts based on African traditions and modern art. The past few years have included months of varied art projects, workshops and performances with both local and international artists, choreographers and dancers and travel for research and performances.

He has received his artistic academic training through open forums, seminars and self study, while practical training included dance workshops and apprenticeship receiving instructions in choreography and electronic media at the tertiary level. Evans has choreographed a Solo Dance Piece titled the poem performed at Encounters from Africa festival, the annual festival of solos and duests at Goethe Institute in Nairobi and Dance Week in Kampala, Uganda.