Spotlighting Pan-African Poetry

Biography

Roseflower Maua

Enlarge poem

Mashambani.

Rafiki Mpendwa,

Ingawa date yetu ya last valentine haikuenda poa, najua hii time baado tu utatoboka kuniokota ili uende na mimi vile unachora, lakini roundii hii nakuomba usinitumie vibaya bila makosa. Nitavaa tu zile manguo zangu nilitoka nazo ocha so usiexpect kuniona na trouser.

Sijasahau vile ulinitreasure kwa mara ya kwanza, ukivuka nami barabara, ukifloss hadhara, vile ulikuwa umewai kitu sawa. Si mbaya, lakini sikujua ungenipiga pass kwa mwingine. Anyway, ni kawaida nyi wazee hutukosea sana.

I remember ulinichukua kitu saa nne ya mchana, nikizubaishwa na maji ya gutter, ndio nisikauke kabla haujafanya biashara na aliyetutoa mashambani akituleta mtaani. Huko hata wanaotushugulikia wanalia hawaangaliwi vifiti.

Safarini, mabeshte wetu kama ishirini walifariki kutokana na kufinyana kwa gari. Just imagine hata sio kutokana na ajali ya barabara inayowaangamiza worse kuliko garhama. Lakini mimi, ni mmoja wa wale walionusurika kifo, before tufikishwe streets, pahali mahawker walianza kutuimbia masong za kuattract mashopper:

“50 bob mbili, Mia. Furahisha mwanaa na hamsa…….”

Hapo ndipo uliniwai, baada ya burgain kali na Momanyi, juu ulikuwa na ganji, lakini uliogopa kuspend before mkutane na honey.
Haki nyi mababi. Heartbreak ya kwanza ni ile ya wakati mliingia nami magawani.
Baada ya kujiitishia samaki, wali na everything mlipanga kutia ndani, ni mbaya sana hamkushugulika kuniitishia hata glasi ya maji, inipoeshee taki, nyi mkiendelea kumanga happy.

Mi nikawastudy. Mnajua vizuri mi sibongagi, lakini mliniassume tu hata mlipoona nikianza kulose bloom. Kunusa my natural perfume made you feel so good but, you really never thought of treating me as true lovers should.

From there, nilijua hamngenitunza poa ka mgeni and indeed mlipotoka hotelini, mliniangusha mara ka twenty, ulevi ukiwanyan’ganya heshima ya kunishika na hekima. Gazetti mliyonifunikia nayo kichwa si ilipotea hata kabla tuingie dinga.

Aya, tulipofika nyumbani, si nilidhani eti ningepokewa hata na water kwa vase ya one litre, believe me, mapilka zilibadilika, hadi nikajipata nikisikitika ni kwa nini nilitolewa kwa shamba la mkulima bila kuambiwa ni wapi nilikuwa nafikishwa. Hata nilipoanza kuwither, si nyi mliendelea tu kuchafua hadi nikadry kabisa but kwa neema ya Baba, mbegu zetu huturudisha maishani tena na tena. Lakini kwa sasa, naona mogaka akikam na panga kunikata, ndio biashara ya valentine imuunganishie mukwanja but kumbukeni, mkinitumia vibaya, affair yenu haitakuwa na baraka hadi mjue kwenye valentine mimi ndio ishara.
Ni mimi mpendwa wako,
Roseflower Maua.

Kennet B

Featured Poem:

Sugar Daddy

Enlarge poem

Karibuni kwenye story moja moto ya mbuyu fulani poko anayetake advantage ya usonko kumisuse madame kingono.

KITAMBI CHA SUGARDADDY KIMEJAA KWA SHATI KWA SABABU YA GANJI YA DHAMBI.

Baado tu ni uhondo, nitatumia lugha yetu ya soko kwa sababu kingoso ni vako yake ya uongo, what I mean is, Kimombo itakuwa kidogo, na labda hata kilowtone kwa sababu kimila pia ni lazima tujipatie promo.

Masomo. Mtafuta ndogo ndogo haogopi uchungu wa kisonono, kwani akitake advantage ya words zake za mdomo, na action ya mkono, hadi mono huquit masomo baada ya kupigwa chobo na mguu ya kati ndogo, just iamagine ndani ya gari, kule sehemu ya backseat bila hata bedsheet, si backul ya seatbelt iliacha huyo girl na backache.

Jihadharani! Sugardaddy ni hatari na madame hawaja fika thirty, kwani tayari ana habari macladi na ganji, hufurahisha sana madame wa hiyokambi.

Excuse me Sister Cathy, Matty, Mnatty na wote wana bahati ya kuattend hi party. Mi si padree, hapa mko na simple natty anayejaribu kuridhisha hii halaiki na hizi lyrics fiti, ili mjiepushe na dhiki ya huu nya’ngau gaidi. Wote aliyewalungula walijionea huruma alipotoa kamtula kitambi icheze rumba.

Some girls are very unlucky, just imagine at a tender age of thirteen, Cathy alikuwa ashagwerwa na sugar daddy, aliyemtumia taxi, iliyompeleka maskani, pahali alimchanganya na kanyuaji, kisha akamuona ndani, na hata hakumjali alipomcall “Daddy!” kwa simu ya jamii.

Si tayari alikuwa amemtupa? Hangeweza tena kumbeba na trooper, wacha ile intercooler alimpeleka nayo kwa ile duka, pahali alimbaia ndula na amarula, akimdanganya eti yeye ndiye nguna super, kuliko hata Miss Cuba. Eti mnashtuka. Si vile tu alimtupa, alikwachu Maimuna akamtafuna tafuna, halafu akamtupa ka mfupa, alipogwera Sellah yule sistake mlesser, na si ni mimba ya Domtilla ilifanya aitwe kila baada ya kumpatia mita aiflash kabisa.

Haki woeeeh!, inakuaga mbaya kujuta. Sijui ni kwanini madame wasupa, hujipata kwa mitego za mabuda dusla, wakiruka maboy murwa, hujua eti virginity ya dame before mahari, ni mali kali sana, kulingana na faith ya bobo shanti.

Now tell me, mbona ukubali mbuyu ana maoffspring, akuenjoy na maouting ya kukuchoma na chips, umpeelie off panties, halafu bedmatrix ikuache in eclypse.
Niaje mnasahau haraka na hii story ilivuka hadi mpaka. Hamkumbuki akienjoy daughter wa jirani na maouting za mbali, akimdanganya na ganji, halafu mwishowe akamgawia kitambi. Just imagine embryo ndani ya tummy.

Father Sucrose akikuita ucome close, kindly avoid his approach because anaita madame young malaptop. Akikuwekea armlock, tafadhali usifurai eti umewai jackpot, juu mwishowe labda atakuacha ukichimbwa na mattock.

Hebu kaza hiyo padlock.Didn’t you see his secretary limping after the closed door meeting? I”m not kidding. Ni risky sana kubaki naye afisini ka kuna siku ashakuchungulia chini kwa chini kama umevaa mini. Plis akikuhala vipi, kindly usimjibu fiti. Mulize “Nini!”
Si nyumbani amewacha bibi akiwatch Vitimbi na watoi Tahidi, nawe anakuenjoy ka coke baridi eti mbuyu ana masibling baado anadai mingling. Cryplin.

Sio jokes, unaweza dis boy wa mogox, uendee mbuyu maplots, ukidhani atakugawia manotes, kumbe anakugeuza corpse. Si life yako itakuwa imelost.
Imagin alidemote yule dame lox aliyemnyima pillow talk.
“Eti what.”
Wacha kuuliza eti eti what?
Tafadhali usikubali akuarouse, hata kama itabidi uende bila rent ya house. Jesus can always provide abetter source. Cross umuache ka post, imesimamka katikati ya assembly plot. Wacha aseme una maringo, kuliko kujiexpose, mbele ya ghost, atafanya uanze kudecompose, at a time you should be composed and very much close to chali mmoja most, anaweza ngarisha to the top,s your thoughts about the future hopes.

Translations:

Welcome to this hot story about another promiscuous dad who takes advantage of his monetary strength to misuses young girls sexually.

REFRAIN: “The belly of the sugar daddy is swollen in his shirt because of his sinful cash.”

This is just the introduction, I’ll use our common market language because English is his way of deceit, what I mean is, English will be in less use and probably at low tones because culturally we still have to give ourselves some promotion.

REFRAIN
A sugar daddy is very dangerous to those girls who have not reached 30 because he is aware that the girls in that age set are easily lured with nice clothes and money. Excuse me Sister Matty, Cathy,Mnatty and all those who are lucky to attend this party. Personally I’m not a padre. In front of you is a simple man who is trying to teach the crowd using these sweet lyrics to warn you against this greedy hyena. All those he made love to pitied themselves when he removed his pants as his belly danced to Rhumba. { type of African music with sensual melody}

REFRAIN
Some girls are very unlucky, just imagine at a tender age of 13 Cathy had already been taken by a sugar daddy who sent a taxi that took her to Maskani{A hidden place} where he sexually defiled her and later couldn’t even talk to her even when she called her “Daddy…” in a public phone booth. Isn’t it obvious that he had already dropped her? Sorry, he had even not told her that he was HIV positive. He would never again drive her in his Prado leave alone the Intercooler he had driven her in when he took her to the shop where he bought her shoes and Amarulla, cheating her that she was even more beautiful than miss Cuba. You shouldn’t already be surprised, just imagine immediately he dropped her, he took Maimuna who he chewed then later threw away like a bone when he pounced on Sellah her little Sistah. And isn’t it Domtillah’s pregnancy that earned him the name “Killer” after giving her one thousand shllings to go and do arbotion ?
REFRAIN

How does this featured poem make you feel?

 • Amazement (13)
 • Pride (8)
 • Optimism (8)
 • Anger (7)
 • Delight (7)
 • Inspiration (27)
 • Reflection (8)
 • Captivation (2)
 • Peace (10)
 • Amusement (7)
 • Sorrow (9)
 • Vigour (3)
 • Hope (13)
 • Sadness (15)
 • Fear (6)
 • Jubilation (5)

Comments

 1. Kennet, nakufeel sana unavyoelezea kutiwa kichefuchefu na na ma-sexual predators kama huyu sugar daddy. Umewaweka wazi kweli kweli hasa fikra zao za kinyama na jinsi ambavyo hawajali maisha na hisia za mawindo wao. Nitaendelea kukufuatilia, mdugu yangu.
  Pamoja. Dani (TZ)

  Kennet, I feel your disgust with sexual preditors like this sugar dady. You have really exposed them, especially their profane ways of thinking and how little empathy they have for the lives and feelings of their prey.
  I will keep following what you’re up to, my brother.
  Together. Dani (TZ)

  Dani Swai
 2. Habari!!
  Sisi kama baraza la Kiswahili kusini mwa Africa hatuna budi kukupongeza kwa mashairi mazuri.

  Asante sana
  The Southern Africa Swahili Council
  Web:www.swahilicouncilafrica.org

  The Southern Africa Swahili Council

Your email address will not be published.

Biography

Odongo Kennedy Leakey, known in the entertainment industry as Kennet B, started writing spoken word poetry 14 years ago. He began performing actively in early 2009 after winning the Slam Africa Poetry Championship founded by Imani Womera of Imani Inc. Prior to this, he had recorded his first spoken word poetry single Reality Absurdity, the video for which is forthcoming. Driven by the global concern about HIV and AIDS, his lyrics are majorly pegged on the social issues that are responsible for the spread of the virus.

He has four albums on the table; Coming of Age, a seven track pure spoken word poetry album , Success a 15 track musical-poetry album, Cheka na Kennet, and Refugee.

Currently Kennet is working on a short stories compilation The Sheng Anthology vol 1. This is a collection of conflict-laden social narratives aimed at impacting the repeated emphatic distress felt when a favorite character is seen in imminent danger. This often enhances the enjoyment of the stories and one sees the resolution of the threat (HIV&AIDS) as the narratives unfold.